Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 18,960 Reaction score 67,654 Feb 25, 2017 #1 Baada ya Ushindi wa Simba dhidi ya Yanga, hebu tujikumbushe baadhi ya nukuu alizowahi kutoa Jamhuri Julio mnazi wa kutupwa wa Simba Sports Club.
Baada ya Ushindi wa Simba dhidi ya Yanga, hebu tujikumbushe baadhi ya nukuu alizowahi kutoa Jamhuri Julio mnazi wa kutupwa wa Simba Sports Club.
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,301 Reaction score 13,858 Feb 25, 2017 #2 Simba oyeee..
O onyx JF-Expert Member Joined Mar 17, 2016 Posts 1,587 Reaction score 1,316 Feb 25, 2017 #3 Chuji ni kama beberu, kisa alikuwa kafuga mzuzu