Tujuwane

Tujuwane

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Jamani nilikuwa na wito kuwa wale woote waliosoma marketing/sales management tuweze kujuwana na ikiwezekana tuunde hata association yetu jamani

Asanteni sana.
 
Jamani nilikuwa na wito kuwa wale woote waliosoma marketing/sales management tuweze kujuwana na ikiwezekana tuunde hata association yetu jamani
Asanteni sana

Nahitaji kuajiri mtu kama wewe aisee.
 
Unataka kuwa mtumza hazina wa hiyo association ili ukimbie na mtaji.
 
Back
Top Bottom