Lio 002 JF-Expert Member Joined May 10, 2014 Posts 436 Reaction score 68 Jun 5, 2014 #1 Jamani nilikuwa na wito kuwa wale woote waliosoma marketing/sales management tuweze kujuwana na ikiwezekana tuunde hata association yetu jamani Asanteni sana.
Jamani nilikuwa na wito kuwa wale woote waliosoma marketing/sales management tuweze kujuwana na ikiwezekana tuunde hata association yetu jamani Asanteni sana.
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,909 Reaction score 2,115 Jun 5, 2014 #2 Lio 002 said: Jamani nilikuwa na wito kuwa wale woote waliosoma marketing/sales management tuweze kujuwana na ikiwezekana tuunde hata association yetu jamani Asanteni sana Click to expand... Nahitaji kuajiri mtu kama wewe aisee.
Lio 002 said: Jamani nilikuwa na wito kuwa wale woote waliosoma marketing/sales management tuweze kujuwana na ikiwezekana tuunde hata association yetu jamani Asanteni sana Click to expand... Nahitaji kuajiri mtu kama wewe aisee.
Lio 002 JF-Expert Member Joined May 10, 2014 Posts 436 Reaction score 68 Jun 5, 2014 Thread starter #3 DZUDZUKU said: Nahitaji kuajiri mtu kama wewe aisee. Click to expand... Niajiri tu
NAMTUMBA JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 1,939 Reaction score 597 Jun 5, 2014 #4 Unataka kuwa mtumza hazina wa hiyo association ili ukimbie na mtaji.
Lio 002 JF-Expert Member Joined May 10, 2014 Posts 436 Reaction score 68 Jun 6, 2014 Thread starter #5 NAMTUMBA said: Unataka kuwa mtumza hazina wa hiyo association ili ukimbie na mtaji. Click to expand... Hahaha mkuu hakuna bhana lengo ni kujiteam up cc kama wana masoko tujuane
NAMTUMBA said: Unataka kuwa mtumza hazina wa hiyo association ili ukimbie na mtaji. Click to expand... Hahaha mkuu hakuna bhana lengo ni kujiteam up cc kama wana masoko tujuane