Tujuzane baadhi ya USSD code za huduma mbalimbali

Bujoro

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,115
Reaction score
2,231
Wakuu Habari za wakat huu... Nadhani mko poa leo naomba tujuzane ussd code's zinatufanya kupata huduma mbali mbali ya ktk mitandao tofauti tofauti tunayoitumia kila siku ktk maisha yetu ya kioa ck. Karibuni kwa mwendelezo naanza mimi nawe shuka nayo kwenye comments kama kuna mahali pamekosewa kwenye hizo codes naomba tusahihishe jmn.

*150*00# mpesa

*150*01# tigo pesa

*150*60# airtel money

*150*48# mula

*149*42# voda ya chuo

*149*60# salio la vifurushi voda

*149*60 *0753.......#tafadhali nipigie voda

*149*68*0753........# tafadhali niongezee salio voda

*149*69*0753........ # tafadhali nipigie voda

*149*53*0753........*500# kumtumia mtu salio voda

*149*45# menu voda fasta.

*149*49# vifurushi cheka vofa

*149*94# offers za airtel

*149*81# vifurushi vya chuo airtel

*149*81*4# vifo vya chuo airtel

*148*30*35# vifurushi vya chuo ttcl

*148*30# vifurushi vya kawaida ttcl

*148*55# vifurushi vya kawaida halotel

*148*66# vifurushi vya chuo halotel..

*150*53# Dstv

*150*36# DSe

*150*05# Wizara ya afya

*150*48# E bus ticketing

*150*50# Selcom

*150*51# Bima

Ongeza na ww unazozijua hapa ili iwasaidie wengine kama za zantel, smart, nk.
 
Mula umeikosea

Sahihi ni *150*78#

Airtel chuo *149*99*7#

Menu mhimu Airtel *148*60#

Kurejesha namba yangu mwenyewe Airtel *148*86#


Offer maalumu Airtel *149*98#
 
Ongezea *152*00# menu ya huduma za serikali.
 
Huduma za Kibenki

BancABC *150*34#

Equity Bank *150*07#

FNB Bank *150*99*321#

NMB Bank *150*66#
 
Wakuu nikitaka Ku block simu zote zisiingie nafanyaje? yaani simu ikipigwa na mtu ikatike tu bila kusema busy!
 
zantel hawana bundle nzur za usiku pack kama ilivo ile ya airtel na tigo kwa 1500tshs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…