Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii gari ni nzuri sana kuanzia confirtability, fuel consumption na ukipata ile yenye 4WD unakwenda popote.. ina kaugonjwa sana kwenye steering rake yake. Kati ya watu wenye nayo kila ukiuliza watakuambia hiyo ndio shida sijui walikosea wapi maana huwa inasumbua sana kwenye hizi gar
Inakimbiza sana. Gharama yake level ya Rav4
Kweli nahisi stering haziko vizuri hili na mimi nililiona nikiendesha gari ya rafiki yangu. Haikunipendeza. Lakini ni gari nzuri kwa mwonekano na muundo wake. Inapita barabara aina zoteHii gari ni nzuri sana kuanzia confirtability, fuel consumption na ukipata ile yenye 4WD unakwenda popote.. ina kaugonjwa sana kwenye steering rake yake. Kati ya watu wenye nayo kila ukiuliza watakuambia hiyo ndio shida sijui walikosea wapi maana huwa inasumbua sana kwenye hizi gar
Sahihi bei ziko sawa. Ila Rush naona ina mvuto zaidi ya Rav4Kwa maoni yangu, bora ununue rav 4 ‘kili time’ kuliko hii ukizingatia bei zinalingana
Yes tatizo lake kubwa ni hiyo sterling rek otherwise ni gari nzuri na mafuta hainywiHii gari ni nzuri sana kuanzia confirtability, fuel consumption na ukipata ile yenye 4WD unakwenda popote.. ina kaugonjwa sana kwenye steering rake yake. Kati ya watu wenye nayo kila ukiuliza watakuambia hiyo ndio shida sijui walikosea wapi maana huwa inasumbua sana kwenye hizi gar
Kivipi mkuu,kiherehere cha kukimbia au?Nacho jua ni gari yenye kiherehere ikipata dereva kiherehere[emoji41]
Kila mtu ananunua gari kutokana na mahitaji yake, ila kama unataka SUV yenye ulaji mzuri wa mafuta ni toyota rush au mazda cx5Sijawahi kuielewa hii gari
Kaka maelezo yako yapo so helpful nimetoka kwa Ist na ninampango wa kuvuta huo mnyama….Nimetumia hii gari kwa muda sasa
1. Kudumu (Relibility )
Hii ni gari ambayo haikupi kabisa mawazo hasa kama unazingatia muda wa kufanya service, binafsi haijawahi kunipeleka gereji zaidi ya kumwaga oil na kwenda kufunga radio. Ingawa kuna baadhi ya watu wanalalamika kwamba sterling yake huwa inazingua ila hili tatizo sijawahi kukutana nalo. Kingine inabidi uwe makini, bati la rush linatabia ya kushika kutu, ni vyema uwe unakagua gari yako kupiga red oxide na kurudishia rangi mahali penye tatizo lasivyo kutu itakula body na mwishoni litatoboka.
2. Ulaji wa Mafuta
Hii gari ina ulaji mzuri sana wa mafuta, inaweza kukupa km 13 hadi 15 kwa lita, ukiendesha dar, ila hii inategemea na uendeshaji wako, mimi inanipa matokeo mazuri zaidi nikiwasha OverDrive na huwa sizidishi rpm 2000.
3. Uwezo wa gari
Hii gari kama hujazingua engine lina nguvu ya kutosha, hauihitaji kukanyaga mafuta kwa nguvu kwenye mlima, na hata kama umepakiza watu, kingine nilichopenda kwenye hii gari linabadili gear haraka, hivyo ni rahisi kuchanganya na matumizi madogo ya mafuta. Note: huwezi kulinganisha na gari kama Subaru Forester ila acceleration yake ni nzuri, imezidi kwa mbali sana Rav4 Kili time.
4. Uendeshaji wake
Kabla sijanunua hii gari nilihisi ipo kama toyota cami kwa sababu ya umbo lake, ila ipo tofauti sana. Hii gari ni nzito hata rough road hautahisi mitikisiko mikubwa kama ambavyo ungesikia kwenye cami. Kingine hii gari ipo juu, inakufanya uone barabara vizuri, ukizingatia haina bonnet ndefu sana (kiufupi unaona unapopita).
Barabarani hii gari inatembea vizuri tuu, unauwezo wa kutembea nayo hadi 140 bila shida yoyote ila kuwa makini na kona. Pia hii gari ipo juu hivyo huwezi kugonga bumper wala kugonga chini ukipita rough road.
5. Ushauri wangu
Kama unaagiza jitahidi uchukue lenye km zisizo zidi 70000, hili utakaa nalo sana maana Toyota rush ni gari ambayo haikupi sababu ya kubadili gari ukiwa na matumizi ya kawaida. Hili gari ni ghali, na zinazidi kupanda bei sababu watu wengi wanalitaka, hivyo kuwa makini sana hasa kama utanunua mkononi kwa mtu, binafsi sishauri kununua chini ya 17M kwa mtu, labda kama unalijua, maana siyo kila tatizo utaliona wakati wa kukagua hata kama utaweka diagnosis machine, mfano: kuna mtu aliwahi kuweka kwenye diagnosis machine na haikuonyesha kama transmission control box imekufa, akajikuta ametumia hela nyingi kubadili gear box zima.
Thanks,Kaka maelezo yako yapo so helpful nimetoka kwa Ist na ninampango wa kuvuta huo mnyama….
Hope hawa jamaa hawajaachana sn kwny matunzo…
All in all thanks for the recommendation
Asante sana mkuu,Nimetumia hii gari kwa muda sasa