Tujuzane fursa zilizopo kwenye Teknolojia ili tuziwahi

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,636
Reaction score
2,053
Habari wana jf,

Najua kwa sasa teknolojia imekuwa sana duniani, dhumuni la uzi huu naomba tujuzane fursa tofauti tofauti zilizopo kwenye teknolojia ili na sisi tuzikimbilie kama walivyofanya akina Maxmalipo na wengineo...

Hebu naomba tutililike hapo chini wakuu kwa mafursa mbalimbali
 
Tafuta tatizo afu lisovo kidikitali, Anzisha program ya kidikitali kulitatua taizo hilo.
 
umemaliza kila kitu tena kwa tz ziko nyingi tu changamoto ni mwanzoni mpaka watu waelewe inahitaji kazi ya ziada.
 
Hata Facebook, Wasap, JF Hazikuanza kama zilivo now. kikubwa ni ubunifu tuu.
 
Blockchain technology ndio mpango mzima sasa hivi.
 
Back
Top Bottom