Tafuta tatizo afu lisovo kidikitali, Anzisha program ya kidikitali kulitatua taizo hilo.Habari wana jf,
Najua kwa sasa teknolojia imekuwa sana duniani, dhumuni la uzi huu naomba tujuzane fursa tofauti tofauti zilizopo kwenye teknolojia ili na sisi tuzikimbilie kama walivyofanya akina Maxmalipo na wengineo...
Hebu naomba tutililike hapo chini wakuu kwa mafursa mbalimbali
umemaliza kila kitu tena kwa tz ziko nyingi tu changamoto ni mwanzoni mpaka watu waelewe inahitaji kazi ya ziada.Tafuta tatizo afu lisovo kidikitali, Anzisha program ya kidikitali kulitatua taizo hilo.
Hata Facebook, Wasap, JF Hazikuanza kama zilivo now. kikubwa ni ubunifu tuu.umemaliza kila kitu tena kwa tz ziko nyingi tu changamoto ni mwanzoni mpaka watu waelewe inahitaji kazi ya ziada.
Ndo nini mkuuBlockchain technology ndio mpango mzima sasa hivi.