Tujuzane hapa matokeo ya urais nchini Kenya

Maarab

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2017
Posts
415
Reaction score
253
Parsonaly mie bianafc yangu niko pande ya Uhuru Kenyatta..na am Sure Kenyata atakamatia Nchi tena kumalzia n'ngwe yake.
 
Tulia kijana uchaguzi upo August haraka ya nini ndugu yangu? Saivi labda ka unataka updates za kampeni na polls!
 
Tulia kijana uchaguzi upo August haraka ya nini ndugu yangu? Saivi labda ka unataka updates za kampeni na polls!
No..hapana leo kwa taarifa fupi nilsikia kwa Chombo flani cha news kua Kura za Marais zitaanza kuhesabiwa..I mean kule Kenya hutumia County so wanaanzia Na Magavana..Ar you here??
 
hahaaa..kura bado msee.kumbe we mbu mbu mbu kwa mambo ya kenya...
 
No..hapana leo kwa taarifa fupi nilsikia kwa Chombo flani cha news kua Kura za Marais zitaanza kuhesabiwa..I mean kule Kenya hutumia County so wanaanzia Na Magavana..Ar you here??
Eeh bana. Ngonja had Aug. Kura zote zitapigwa kwa siku moja; ya urais, gavana, senetor, women rep, mp, mca, mdd mdc, animal rep...yote!"
 
Hehehe!! Duh nawaza hayo madudu yote nani atawapa kura yangu.
I may only vote for those significant positions, hizo zingine I dont know their roles, why they are important to me, I dont even know the candidates, why should I care.
 
ODINGA JUU ZAIDI.kwa poll ya leo inaonesha Odinga 53% Uhuru47% kwahiyo Uhuruto sidhani kama watarudi ikulu
 
ODINGA JUU ZAIDI.kwa poll ya leo inaonesha Odinga 53% Uhuru47% kwahiyo Uhuruto sidhani kama watarudi ikulu
Sii vibaya mkafurahi kwa muda.

Hata Clinton aliishia kuilaumu urusi
 
[quote uid=27399 name="OME123" post=21825755]ODINGA JUU ZAIDI.kwa poll ya leo inaonesha Odinga 53% Uhuru47% kwahiyo Uhuruto sidhani kama watarudi ikulu[/QUOTE]<br />Tafiti ipi umefanya??
 
Sii vibaya mkafurahi kwa muda.

Hata Clinton aliishia kuilaumu urusi
Lakini ile ya Clinton ilikuwa sawa. Alizoa kura zaidi ya trump, polls vile zilitabiri, kwa millioni 3!

Lakini sasa pale kwa electoral colleges ndio akaanguka
 
Lakini ile ya Clinton ilikuwa sawa. Alizoa kura zaidi ya trump, polls vile zilitabiri, kwa millioni 3!

Lakini sasa pale kwa electoral colleges ndio akaanguka
Raila atakula mwereka ingine!
UK yuko poa vyenye anaendesha serikali kwa transparency na uhuru mkubwa.

Raila iko ni rafiki ya magufuli ambaye obvious ni dictator. What do you expect iwatokee wakenya kwa Raila?
 
Uhuru anaendesha nchi vizuri kimaedeleo. Lakini hapo kwa transparency, hata wafuasi wake sugu sidhani kama watakubaliana na hilo.

Raila ako na tendancies fulani za kidikteta, lakini Kenya kuna katiba itamnyima hizo mamlaka nyingi, hatoweza kufanya uamuzi na mambo kana kwamba anamiliki nchi.
 
Katiba inataka pawe na utashi wa kuifuata.
Kwa mfano katiba ya TZ iko inasema kuwa political parties zinaruhusiwa kuendesha siasa nchini. Lakini magufuli yeye kama yeye ati hataki wenzie wa practice politics eti wakafanye kazi!!!
Ukibishana nae polisi wamepewa mamlaka kwa presidential decree wakushughulikie iwe mfano kwa wengine.

Naamini uzuri wa katiba upo upstairs sio kwenye makaratasi.
 
Mkuu,
Uchaguzi Mkuu Kenya utafanyika August 8, 2017 na kura kubandikwa katika kila kituo cha kupigia kura. Kutakuwa hakuna kusubiri kura za Urais kutangazwa na Mwenyekiti was IEBC bali kila kituo cha kupigia kura kitarusha matokeo ya Urais, ubunge, useneta na ugavana .

Kwa ufupi kutakuwa hakuna urasimu kuwa kuhesabiwa kura za Urais kupewa hadhi ya kipekee tofauti name ngazi zingine Ubunge, U-Senator au U Gavana.

Jubilee walilia zoezi la kuhesabu kura za Urais uwekewe urasimu kuhesabiwa ngazi za juu yaani matokeo yasibandikwe ktk kila kituo cha kupigia kura. Lakini muungano was NASA wakapeleka hoja mahakamani na majaji kukubaliana hakuna haja ya kura za Urais kutangazwa na mwenyekiti wa Tume Nairobi tu bali matokeo yatiririke kutoka kila kituo na nakala kupelekwa Nairobi.

Kuna matumaini uchaguzi huu "wizi " wa kura za Urais hautakuwepo kutokana na Mwenyekiti Tume ya Uchaguzi Kenya kupokonywa "madaraka" ya kuwa mtu pekee kisheria /kikatiba kutangaza matokeo ya Urais kwa umma wa wa-Kenya.
 
Ki ukweli naoenda Raila ashinde.
na ntafutilia zaid
 
Hapo sasa kwenye presidential decree......rais wa Kenya hawezi akatoa decree kama hiyo bila ya kupata kuungwa mkono na bunge, halafu pia kuna mahakama ambayo ni sharti the executive and parliament kurespect maamuzi yao.

Usidhani hata Uhuru ni mtu mwema sana, ni sheria ndio imemkaba mikono. Otherwise, yeye kitambo angeshanyamazisha upinzani kitambo sana, lakini hana mamlaka hizo.
 
Hii nimeipenda saana....sana...then tibiim ni nini?.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…