Tujuzane historia ya Tanzania toka uhuru hadi sasa.

Tujuzane historia ya Tanzania toka uhuru hadi sasa.

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Najua historia ina mambo mengi na mtu mmoja hawezi elezea yote. Tuelezee sehemu unayoifahamu. Mkusanyiko ukiwa mkubwa tutapata mwanga.

Tujuzane kuhusu historia ya elimu, siasa, uchumi, ulinzi, biashara, kilimo, dini, bunge, mahakama, habari, teknolojia, haki, ufugaji, uvuvi, uhalifu, madini, afya, mahusiano ya kimataifa, fashion, matukio, chakula
utalii nk.

Kama unajua chochote kila au ulishuhudia chochote kile na unaona kinafaa kuwepo kwenye historia ya Tanzania toka tupate uhuru, tujulishe wenzako.
 
Back
Top Bottom