Swahili AI JF-Expert Member Joined Mar 2, 2016 Posts 10,174 Reaction score 89,364 Apr 15, 2023 #1 Mimi naanza na hii Wapo wanaosema kwamba: 1. Pana genge la uhalifu 2. Panauzwa madawa ya kulevya 3. Ishara ya kumkumbuka raia aliyefariki kitaa Je ni ishara ipi ya mtaani unayoijua? Tujuzane.
Mimi naanza na hii Wapo wanaosema kwamba: 1. Pana genge la uhalifu 2. Panauzwa madawa ya kulevya 3. Ishara ya kumkumbuka raia aliyefariki kitaa Je ni ishara ipi ya mtaani unayoijua? Tujuzane.