Tujuzane kati ya Ifakara na Mpanda

Tujuzane kati ya Ifakara na Mpanda

Moneyowner

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,423
Reaction score
1,252
Habari wadau.
Embu wajuzi wa haya maeneo tupeane uzoefu katika biashara ya mazao ya kilimo na mifugo lengo ni
1. kujenga rice and maize processing mills na ufugaji kuku wa kienyeji.
AU
2. Food store rice and maize, alimaarufu kama kuficha mazao yakipanda bei unauza.
sijawahi fika maeneo hayo, this july ndo nampango wa kuyatembelea. wapi kuna mazingira rafiki hasa miundombinu, bei na ukarimu wa wenyeji? lengo hapa ni kununua tu sio kulima.

kaaribuni
 
Habari Mkuu, mpanda pale nishafika, kuna mpunga mwingi sana kuna machine kama 3-4 ambazo zinafanya processing (nazungumzia machine sio kijimashine).Ukitaka uwin nawe uwe na machine kama hizo maana pale mpunga hauishi.

Machine hizo ni kubwa sio kama machine za mtaani na zina gridi tofauti toka tanesco,nadhani kwa Tanzania Mimi nimeziona mpanda tu.

Kama huna pesa ya kununua hizo machine ,Fanya kilimo kitakulipa kwa mpanda
 
Asante kwa taarifa
 
Mkuu hizo mashine hata Mbarali Mbeya zipo sehemu moja inaitwa Ubaruku zipo kibao zinatumia umeme wa peke yake.
 
Habari wadau.
Embu wajuzi wa haya maeneo tupeane uzoefu katika biashara ya mazao ya kilimo na mifugo lengo ni
1. kujenga rice and maize processing mills na ufugaji kuku wa kienyeji.
AU
2. Food store rice and maize, alimaarufu kama kuficha mazao yakipanda bei unauza.
sijawahi fika maeneo hayo, this july ndo nampango wa kuyatembelea. wapi kuna mazingira rafiki hasa miundombinu, bei na ukarimu wa wenyeji? lengo hapa ni kununua tu sio kulima.

kaaribuni

Salam Kiongozi
mimi nimeshatembelea maeneo haya na kufanya kazi na wakulima huko...
labda kwa ushauri Zaidi je? soko la bidhaa zako litakuwa wap?
kama itakuwa dsm nakushauri ingia ifakara na uchakaze vijiji vyake vyote kutoka sagamaganga, ifakara mjini, ......mbingu...mngeta uende malinyi mpka mlimba hapa utapata sehemu nzr sana za kufanya uwekezaji na nasema ivi kwa sababu juzi kama week mbili nimetoka huko siku hizi kuna daraja safi na ile barabara ya mikumi-ifkara iliyoukuwa imebaki bila lami takribani 65km mkandarasi yuko kazini so focus on ifakara if your target market is DSM lakini

note: kwa maeneo haya utaweza kununua mpunga tuu na sio mahindi

lakini pia kama una target mahindi nenda maeneo ya jirani kama Gairo, kiteto, kibaigwa, kogwa, mpwapwa utapata mahinidi

Mkoa wa rukwa uko vzr sana kwani una rutuba na ardhi nzr sana nimetembea kidogo mpanda, namanyere, mpibwe, usevya , nkasi, pande, china na vijiji vingine vya mkoa huo .... kwa chakula uko vzr but Fanya hesabu zako kama soko lako litakuruhusu (gharama za usafiri etc) kule ni sehemu nzr sana kwa biashara ya mahindi
 
Ubarikiwe sana kiongozi, nimekuelewa kwa ufafanuzi mxuri.
 
Nahitaji tani 30 za mahindi kwa ajiri ya sembe kila baada ya wiki mbili 0764800989 Alfred, kiwanda changu kiko Dar es Salaam, Kigamboni
 
Vipi mkuu ni wewe huyu
 
Habari wadau.
Embu wajuzi wa haya maeneo tupeane uzoefu katika biashara ya mazao ya kilimo na mifugo lengo ni
1. kujenga rice and maize processing mills na ufugaji kuku wa kienyeji.
AU
2. Food store rice and maize, alimaarufu kama kuficha mazao yakipanda bei unauza.
sijawahi fika maeneo hayo, this july ndo nampango wa kuyatembelea. wapi kuna mazingira rafiki hasa miundombinu, bei na ukarimu wa wenyeji? lengo hapa ni kununua tu sio kulima.

kaaribuni
Njoo ifakara tupange kazi
 
Back
Top Bottom