Tujuzane kuhusu application za vyuo maana zinakaribia kuanza

adinag

Member
Joined
May 13, 2014
Posts
87
Reaction score
11
Ni matumaini mko poa. Katika kipindi hiki application za vyuo zinakaribia kuanza, tunaomba mtupe news zote kwa wale watakao kuwanazo.

Mfano mdogo ni wale wanaosubiri matangazo kutoka vyuoni moja kwa moja juu ya kozi zilizopo ambazo unaweza kuomba moja kwa moja chuoni hasa kwa wale tunaotaka kusoma degree tofauti na zile za awali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…