Tujuzane kuhusu HESLB, CRDB wameni sms

Tujuzane kuhusu HESLB, CRDB wameni sms

Status
Not open for further replies.
Joined
Jun 17, 2013
Posts
74
Reaction score
8
Mimi nilifanya application nikafanikiwa kwenye ile first round, sasa asubuhi hii na mapema nimepata sms kutoka CRB but imekuja incomplete hapo mwishoni wamenipa namba zao za mawasiliano. Swali langu ni je huenda bodi ilishapitisha mkopo na sasa inatutaka kufungua ACCOUNT BENK au?. Kwa aliyetumiwa au walio tutangulia huko chuoni tunahitaji msaada wenu juu ya hili.
 
Hyo sms ni ya mambo mengine kabisa, hata haihusiani na mambo ya shule. Kwa bahati mbaya nimeifuta.
 
Kijana hata SELECTION hazijatoka, hujafanya registration chuoni sasa CRDB wakutumie SMS ya nini Kwani nani kakwambia CRDB pekee yao ndo wanapokea na kutoa boom kwa wanafunzi? So tulia kabisa mpaka majina ya waliopata mkopo yatoke then SELECTION za vyuo zitoke ndipo ukaripoti mtapofungua chuo utakachokuwa umepangiwa then ufanye registration ndo utajaza namba yako ya akaunti ya benki utakayokuwa umefungua baada ya hapo utakaa si chini ya wiki mbili na nusu ndo Hela itoke,na kwa hari ilivyo mwaka huu kuna uwezekano ikachelewa zaidi so mjipange!!
 
Mimi nilifanya application nikafanikiwa kwenye ile first round, sasa asubuhi hii na mapema nimepata sms kutoka CRB but imekuja incomplete hapo mwishoni wamenipa namba zao za mawasiliano. Swali langu ni je huenda bodi ilishapitisha mkopo na sasa inatutaka kufungua ACCOUNT BENK au?. Kwa aliyetumiwa au walio tutangulia huko chuoni tunahitaji msaada wenu juu ya hili.

Daaaa mwenyewe naomba mungu niende chuo mwaka huu lakini sina moto kama huo yaaani wenzio wanahangaikia selection we usharukia mkopo uwiiiiiiiiii kaka mbona unatoa sadaka mda wa matangazoo yoyoyoyoyoyoyo nyie mtaanza hadi kuliza uniform za chuo maana huo moto mlio nao mmmmmmmmh kama unaenda kupokea mshahara hivi unasahau kuwa hizo hela wanazo kukopesha utakuja lipa zoteeeee uwiiiiiiiiiiiiiiiiii
Haya wafuate CRDB wenyewe ukawaulizeee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom