General directory
Member
- Jun 17, 2013
- 74
- 8
Mimi nilifanya application nikafanikiwa kwenye ile first round, sasa asubuhi hii na mapema nimepata sms kutoka CRB but imekuja incomplete hapo mwishoni wamenipa namba zao za mawasiliano. Swali langu ni je huenda bodi ilishapitisha mkopo na sasa inatutaka kufungua ACCOUNT BENK au?. Kwa aliyetumiwa au walio tutangulia huko chuoni tunahitaji msaada wenu juu ya hili.