stopperjoseph
Senior Member
- Dec 9, 2018
- 198
- 216
Uzi huu maalamu ili watu wajue mtandao upi unakula sana mb za watu bila sababu yaani Gb 1 inatililika bila hta kutegemea. Na mtandao upi ukinunua Mb tu hta za 500 unasahau kama umeweka Bando lako.
Binafsi Vodacom Tanzania nikiweka bando huwa nasahau Kama nimenunua Bando maana haziishi kabisa yaani natumia hadi nachoka.
LETE MAONI YAKO, NI MTANDAO GANI UNAONA UNAKULA MB ZA WATU NA UPI UNABALANCE MB ZA WATU.