stopperjoseph
Senior Member
- Dec 9, 2018
- 198
- 216
Tusha toka magetoni na tunatafuta hela (pesa). Na tunanidhamu nayo haswaTafteni hela
Mkuu sasa mbona kma halotel ni wabobezi wa kuiba, ujawsha hta data mkuu du!Halotel ni majizi nilinunua mb 490 za buku kuangalia Salio ni mb 480 huku sijafungua data
NA NDO KITU KILICHOKUWA KINANITESA MMI IKO. WAMENILA SANA VIMIA MIA VYANGU. SIKUSTHUKA MAPEMA TU KUJA VODACOMAirtel sina hamu nao line nishavunja kitambo sana, maana ilifikia hatua naunga bando nikiwasha tu data napokea ujumbe umebakiza asilimia 75.
Baada ya hapo huna chako
Hatari ndugu hii mtandao ni majiziMkuu sasa mbona kma halotel ni wabobezi wa kuiba, ujawsha hta data mkuu du!
AiseeAirtel naunga bando la mwezi GB7 kila wiki yaani kila Baada ya siku tano naunga tena kama na kuwa nina kazi ya maana ya kufanya kwa mtandao ila sehemu kubwa huwa natumia
Kusoma emails
Kuperuzi JF
Facebook kidogo
Nashangaa aise
AIRITEL kweli hawa ni air maana ni kama upepo zinaisha shwaa!
Mitandao yote wanapiga ila hawa jamaa kiboko
Bado hawajashawisha 3k for 1.5GbTigo Business and Airtel Business Bundles try them. 3k 1.5Gb 5k 3.5Gb 10k 7.5 Gb for a week