Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Hapo ndugu unakuwa hujasaidia mjadala..muainisho wa scales na respective mshahara ndio hoja hapa.Fresh first degree holders wengu huwa wanaanza nakilo sita na nusu take home kama kilo nne na nusu. Ila kuna marupu rupu ya hapa na pale so ukijibana life linaenda tu, hii ni kwa serikalini.
Hapo ndugu unakuwa hujasaidia mjadala..muainisho wa scales na respective mshahara ndio hoja hapa.
Hapo ndugu unakuwa hujasaidia mjadala..muainisho wa scales na respective mshahara ndio hoja hapa.
Fresh first degree holders wengu huwa wanaanza nakilo sita na nusu take home kama kilo nne na nusu. Ila kuna marupu rupu ya hapa na pale so ukijibana life linaenda tu, hii ni kwa serikalini.
It is an 'open secret', everyone knows that!Mkuu Salary scale za serikalini ni SIRI haziwezi kuainishwa hadharani namna hii.
It is an 'open secret', everyone knows that!
point ov corection, nt everyone bt some ov u, mbona mi cjui, then watu wangekua wanajua wangekua washajitokeza.
digrii holder anaanza na TGS 469,000 take home 371,000
hyo ni kwa kaz za kawaida
ingawa kuna kaz maalum mshahara wafka had 1.2 milioni kama TRA, BOT, TANESCO, NECTA, !!n.k.
point ov corection, nt everyone bt some ov u, mbona mi cjui, then watu wangekua wanajua wangekua washajitokeza.