Tujuzane kuhusu viota vya starehe Kisarawe mjini

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Wajuvi tujulishane basi kuhusu sehemu za starehe ndani ya wilaya ya kisarawe mjini.

With much thanks in advance
 
Kisarawe hii hii!? Nje ya msitu wa kizimzumbwi sidhani kama Kuna sehem ya starehe mi huwa nachukua mahindi nakaa hapo minaki nakula ikiisha narejea dar ila kwa hewa safi na yenye kuvutia plus utulivu kisarawe ni unbeatable 🙌🙌🙌🙌
 
Kisarawe town.. kule vijijini msanga Maneromango masaki vikumburu malui chole kote huko Nina uzoefu hapo sana. Nauliza kuhusu kisarawe Center hapo.
 
Nami nimekujibu kwa experience ya kisarawe center pale ni hakuna KIWANJA Cha starehe ila labda pub ndogo ndogo mfano ukiwa unaelekea kwa mkuu wa wilaya Kuna mgahawa mdogo maeneo hayo ila sehem ya starehe kama ilivyo "Why not mpaka chai au kumalija hamna"
 
Powa powa
 
Kisarase katafute shamba kuke kuns rutuba sana.....mengine sogea Gomes
 
Back
Top Bottom