Matairi mengi hutengenezwa kwa rangi nyeusi, Lakini kuna rangi za kuvutia kama blue, kijani, nyekundu, manjano ama hudhurungu
Kwanini iwe rangi nyeusi tu
Mi naona bora rangi ibaki kuwa nyeusi tu maana izo rangi nyingine zikishika uchafu let say mud si rangi yake ya asili yaweza isijulikane kabisa kwa uchafu na matope
Kuna jamaa mmoja anaitwa FRANCIS DA DON alisha wahi kuja na thread ya namna hii.. Tarehe. Feb 6, 2015
Hivi ni kwanini magari hayana matairi ya orange?! - JamiiForums
Rami zipo aina mbili mkuuJee.. hauulizi kwanini lami barabarani Inna rangi ipi?
ShukranTaili za gari zinatengenezwa kwa kutumia ute unaotoka kwenye miti ya miraba. Miti hii ute wake ni mweupe kama ute wa miti ya mnyaa, lakini ili kutengeneza taili ya gari, huchanganywa na madini ukaa na viambata vingine vinavyotumika kuimarisha taili. Rangi nyeusi ni kiashiria cha uwepo wa madini hayo ya "Carbon" lakini kuna uwezekano wa kuongezea rangi nyingine na kuzifanya taili ziwe na rangi yoyote inayohitajika.
Nashukuru kwa jibu lako kuntu!!Taili za gari zinatengenezwa kwa kutumia ute unaotoka kwenye miti ya miraba. Miti hii ute wake ni mweupe kama ute wa miti ya mnyaa, lakini ili kutengeneza taili ya gari, huchanganywa na madini ukaa na viambata vingine vinavyotumika kuimarisha taili. Rangi nyeusi ni kiashiria cha uwepo wa madini hayo ya "Carbon" lakini kuna uwezekano wa kuongezea rangi nyingine na kuzifanya taili ziwe na rangi yoyote inayohitajika.
Hizo ni aina mbili za barabara, siyo aina mbili za lami. Lami ni Asphalt lakini lami siyo Portland Cement. Ukiwa na hiyo flexible pavement ambayo inatengenezwa kwa Asphalt concrete hapo una barabara ya lami. Lakini ukawa na rigid pavement inayotengezwa kwa Cement, hapo siyo barabara ya lami bali ni barabara ya cement concrete. Lami = Asphalt.Rami zipo aina mbili mkuu
1. Asphalt (ambayo ni flexible pavement) black in colour
2. Rigid pavement ambayo inakua finished na Portland cement , yenyewe rangi yake kama nyeupe iliyofifia au kahawia (rejea barabara ya mwendokasi)
Sent using Jamii Forums mobile app
Point of correction..Rami zipo aina mbili mkuu
1. Asphalt (ambayo ni flexible pavement) black in colour
2. Rigid pavement ambayo inakua finished na Portland cement , yenyewe rangi yake kama nyeupe iliyofifia au kahawia (rejea barabara ya mwendokasi)
Sent using Jamii Forums mobile app