hsnaturalfertility
JF-Expert Member
- May 14, 2022
- 1,029
- 2,243
Umeona eeUngeulizia machimbo ya utamu wa kichina uzi ungejaa majibu.
Watu wanyimi wa machimbo😭😭Wakuu huu uzi hamuuoni au?
Walianza zamani, miaka kumi imepita Segerea nilitembelea mchina alikuwa anatengeneza masofa na magodoro ya spring. Enzi hizo wakati zimeingia zile sofa zenye shape ya L. Ila sijui kama bado yupo.inamaana wachina wameanza na kazi ya useremala.! duuh mwaka huu wabongo wamepatikana tutasikia kila aina ya mlio.
Naomba msaada wa contact kama unazo mkuuKatoro Geita