Tujuzane: Maisha Lugalo MATC yakoje, ni ya kishuleshule au kichuochuo, nifanye maamuzi sahihi

Tujuzane: Maisha Lugalo MATC yakoje, ni ya kishuleshule au kichuochuo, nifanye maamuzi sahihi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Maisha ya kila siku Lugalo MATC yakoje? Ni kama sekondari? Maana naona joining instructions kama za sekondari!

Nisaidieni nifaye maamuzi sahihi, sitaki maisha ya kishule shule, ki- sekondari tena.

Mara uniform, mara ufagiio, mara kudeki bweni, mara kengele ya kula, kulala, kuoga etc etc. Maisha ya kitumwa yanatosha sasa.
 
Back
Top Bottom