Ndg zangu leo tuongelee aina za vifaa vya makup zilizobora na bei zake
Naanza ...lipstic aina ya huda," hudumu masaa 24, no nzito ukipaka haiachi alama bei elf 5,
Tuendendelee kujuzana vingine kama wanja ,poda, brushes, nk kwa mfumo huu
Kwa vifaa vya makeup vizuri ni ghali kama unanunua brand ila kama unanunua hivi tunavyopakana bongo wanavyonunua jumla huko watoako bei tutatajiana za kawaida hapahapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.