Tujuzane makup zenye ubora thabiti na bei zake

ween

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
414
Reaction score
129
Ndg zangu leo tuongelee aina za vifaa vya makup zilizobora na bei zake
Naanza ...lipstic aina ya huda," hudumu masaa 24, no nzito ukipaka haiachi alama bei elf 5,

Tuendendelee kujuzana vingine kama wanja ,poda, brushes, nk kwa mfumo huu
 
Kwa vifaa vya makeup vizuri ni ghali kama unanunua brand ila kama unanunua hivi tunavyopakana bongo wanavyonunua jumla huko watoako bei tutatajiana za kawaida hapahapa
 
Bei ya lipstick ya hudda kwa original website yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…