Tujuzane masoko ya mazao

Tujuzane masoko ya mazao

Godfirst

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
407
Reaction score
474
Habari zenu wakuu

Lengo la kuanzisha uzi huu ni kujuzana hali na taarifa ya masoko /jinsi ya kupata masoko kwa mikoa mbali mbali.

Taarifa hizi zitakua zinatupa mwanga kujua ukijitosa kulima zao fulani ujue na jinsi/ sehemu ya kuuzia.
 
Data sio bure, data ndio zimetengeneza multibilion companies kama google na facebook zinategemea data to survive, nafikiri unafanya kwa hobby tuu lakini kiukweli quality data sio bure, ukiweza kupata quality data unaweza kufanya biashara nzuri sana
 
Idea ni nzuri, tatizo ni credibility ya sources
 
Back
Top Bottom