Tujuzane members wanaoongoza kwa kufukua makaburi (Thread za kitambo) hapa JF

Tujuzane members wanaoongoza kwa kufukua makaburi (Thread za kitambo) hapa JF

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kuna members hapa jukwaani wasisikie jambo hasa kwenye siasa, lazma waje hapa kufufua thread za kitambo ili kujikumbushia na kilichotokea sasa. Kwa lugha nyingine tunaita kufukua makaburi. Ni member gani wanaopenda kufukua makaburi sana?
 
Hizi nyuzi za siku hizi ni hopeless kabisa

Kesho sio ajabu mwingine akaanzisha ambao hawajatairiwa tukutane hapa
 
Back
Top Bottom