Tujuzane: Mfahamu Eli Cohen jasusi hodari wa Israeli nchini Syria

Yeah!
Come sun come rain "my country come first" ujuaji wa kutetea vitu vinavoumiza nchi yetu kwa mataifa ya kibeberu ni zaidi ya kukosa uzalendo na maisha kinyume na Eli Cohen.
Tuungane kuzuia ki-asili,ki-siasa,like-jamii,ki-uchumi na kwa namna yoyote kuilinda (U-Tanzania)na kuwalinda (Wa-Tanzania) kwa Ueledi wetu na uwezo wetu wote.
Watanzania hatuna pa kukimbilia tukipoteza vita ya asili,uchumi,Jamii ya watanzania na Utanzania.
 
Ni mtu hatar sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…