Tujuzane mitandao mingine ya kijamii

Jostrick

Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
66
Reaction score
35
Habarin wakuu,
Najua watu tunajifunza mambo mengi mazuri kuhusu maisha kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii. Kupitia uzi huu tujuzane mitandao mingine yakijamii tunayo ifahamu mbali na Twitter, Facebook,JF, Instagram na Whatsapp.
 
Badoo,hitwe,twoo nenda na huko ukaone mambo
 

Best social networks of ol ze time.. Twitter, Vine nyingine zote tupa kule..
 
Linkedin.
Quora.
Pinterest.
Curiosity.
Reddit
Telegram.
Hiyo ndiyo mitandao mingine mitamu kama JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…