Sio za siku nne.
Kauli iliyopatikana leo ni kuwa cheque iko kwa Mkurugenzi. Hatari iliyopo ni kuwa siku za kazi zilizobaki kwa wiki hii ni kesho na keshokutwa tu. Wajuzi wa mambo wanasema walimu wa Sekondari wilaya ya Mkinga mna hali ngumu sababu viongozi wenu hawajali, muda mwingi wako bize na shughuli zao.