Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Wasee wa samani nachanganya...... Oooooh"Na wakati wa kunyonyoa usitaje neno bata maana manyoya yataota tena na kazi kuwa ngumu"!
Shukran mkuuchemsha maji ya kutosha
kata shingo
akishakufa akiwa hajapoa sana akiwa na jotojoto lake mdumbukize kwenye hayo maji yanayochemka hakikisha kila eneo limepata maji ya kutosha mzungushezungushe kwenye maji kama dkk 1 na nusu hivi .baada ya hapo mtoe muache sec kadhaa manyoya yapoe anza kuyatoa .ukishamaliza chukua unga wa mahindi msungue nao weee baada ya hapo muoshe na maji baridi atakuwa anawaka vizuri tu
Haahahaa! Asante mkuu"Na wakati wa kunyonyoa usitaje neno bata maana manyoya yataota tena na kazi kuwa ngumu"!
Kazi kweli kweli ndio maana silagi bata....chemsha maji ya kutosha
kata shingo
akishakufa akiwa hajapoa sana akiwa na jotojoto lake mdumbukize kwenye hayo maji yanayochemka hakikisha kila eneo limepata maji ya kutosha mzungushezungushe kwenye maji kama dkk 1 na nusu hivi .baada ya hapo mtoe muache sec kadhaa manyoya yapoe anza kuyatoa .ukishamaliza chukua unga wa mahindi msungue nao weee baada ya hapo muoshe na maji baridi atakuwa anawaka vizuri tu
ahaaaa hana ngozi nyeusi sema ana vinyweleo vingi sanaKazi kweli kweli ndio maana silagi bata....
Hivi ana ngozi nyeusi kama kanga ndio maana anasuguliwa???