Thanks mkuu kwa kushea nasiMimi tangu kombe la dunia 2014 sijaangalia TV tena.
Kama ni habari nasoma kwenye mitandao ya kijamii.....Michezo naangalia kupitia Live streams.
Aisee hilo swala la kutizama documentaries nalipenda sana!.......mimi huwa naziangalia You tube.
Jana nimeangalia doc ya ''From The Big Bang to present days.......kwa kweli ni nzuri mno.
Umemaliza kila kitu. Hapa mimi ndio hunifanya nisahau local channels.
Wana program moja inaitwa cheater's ni balaaCBS REALITY.. Kwa mavifo ya ajabu ajabu.
Wana program moja inaitwa cheater's ni balaa
KizuriiiAhaaaa mkuu icho kipindi nilikuwa nakipenda na nilikuwa sikikosi nashukuru kimenifumbua sana kuhusu mambo ya mahusiano.
Sema sasa hivi naona kama wamekipeleka mda mbovu kinaanzaga kitu kama saa 6 hivi ndio hapo nilipochemka sijakitazama mda sana. Sasa hivi natazama vipindi vyao vyakutisha tu.