Tujuzane utaacha lini vitu vifuatavyo

hannibali

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
468
Reaction score
427
Habari zenu ndugu zangu na poleni na majukumu, haya tena kwa mara nyingine tena kijana wenu hannibali mkata shombo nipo kuzungumza na Jamii.

Sasa bhana kama tunavojua kila siku watu tunapaswa kubadilika yaani kiufupi tusipende kufanya vitu kwa mazoea na ikibidi tuache kabisa kwani mazoea ni kilema..sasa bhana tuongee kwa pamoja wewe utaacha lini hivi vitu vifuatavyo
1. Utaacha lini kuoga uchi
2. Utaacha lini kushika inye ulimaliza kujisaidia
3. Utaacha lini kukojoa huku umeshika ududu (kwa wanaume)
4. Utaacha lini kujishika kunani halafu unanusa
5. Mwisho kabisa utaacha lini kuingia JF

Haya tiririka hapa tuone
 
Sio sheria ama lazima kuandika mada hapa jf,,, Kama huna content acha kupost, kuwa msomaji tu ,,,

Busara Ni jibu la mpumbavu
 
Namba 5 sitaacha kabisa.
Nimekaa wiki moja tu bila kuingia JF naona kama nimepitwa na mengi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…