Tujuzane vitu ambavyo mwanamke unatakiwa uwe navyo kwenye kabati lako la nguo

tya02

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
850
Reaction score
1,061
Mambo,
Tukumbushane vitu ambavyo mwanamke unatakiwa usikose kwenye kabati lako la nguo au dressing table yako

Mimi naanza na black dress, mtoto wa kike jitahidi usikose nguo nyeusi hii itakupa urahis labda umepata mwaliko wa ghafla hujui dress code unaweza piga kitu chako cha black na ukatoka bomba sana,kingine ni white dress pia haina tofaut n black dress kwnye matumizi.

wadau ongezeni mengine
karibuni
 
kweli nguo ya black
pia white na viatu vya rangi yoyote achana na black
 
Na invite ,kichwa jiwe hujaelewa
hahaha my dia slow down,nimeweka question mark kwa maana y kwamba post iliyowekwa haikuhitaji matangazo yako ya biashara, kuna jukwaa special la biashara huko kalitafute kaweke
 
Dela ama gauni lolote refu au sketi ndefu
Khanga ama kitenge ama mtandio
 
Mambo,
Tukumbushane vitu ambavyo mwanamke unatakiwa usikose kwenye kabati lako la nguo au dressing table yako

Mimi naanza na black dress, mtoto wa kike jitahidi usikose nguo nyeusi hii itakupa urahis labda umepata mwaliko wa ghafla hujui dress code unaweza piga kitu chako cha black na ukatoka bomba sana,kingine ni white dress pia haina tofaut n black dress kwnye matumizi.

wadau ongezeni mengine
karibuni
Mambo mazuri kabisa, asante sana kwa kutukumbusha. Ngoja nivitafute
 
Inategemea na mwanamke au mdada ni wa aina gani.Hivyo vitu lazima vitofautiane haviwezi fanana kwa wadada wote
 
Nguo za kushona hasa vitenge ni muhimu pia.
 
Mdada usisahau blazer, aisee there is magic in blazer.. Yani ukitupia nguo zako vizuuuuuuuuri especially casual ukamalizia na blazer aisee unaonekana samart kweli kweli..
 
Bkazer unamaanisha blauzi?
 
Back
Top Bottom