Mambo mazuri kabisa, asante sana kwa kutukumbusha. Ngoja nivitafuteMambo,
Tukumbushane vitu ambavyo mwanamke unatakiwa usikose kwenye kabati lako la nguo au dressing table yako
Mimi naanza na black dress, mtoto wa kike jitahidi usikose nguo nyeusi hii itakupa urahis labda umepata mwaliko wa ghafla hujui dress code unaweza piga kitu chako cha black na ukatoka bomba sana,kingine ni white dress pia haina tofaut n black dress kwnye matumizi.
wadau ongezeni mengine
karibuni
Bkazer unamaanisha blauzi?Mdada usisahau blazer, aisee there is magic in blazer.. Yani ukitupia nguo zako vizuuuuuuuuri especially casual ukamalizia na blazer aisee unaonekana samart kweli kweli..