donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Salaam wakuu,
Juzi kuna mdogo wangu alikuja na documentary flani ya jamaa anaitwa Jesse Ventura ambae ana documentary kadhaa kuhusu conspiracy theories eg. Global warming, Time travel etc.
Jamaa alikua anaongelea hili group la usiri liitwalo Bilderberg group ambaye alidai ni kundi la watu mashuhuri na wenye pesa duniani ambao kwa lugha nyingine they are calling the shots in the world. Jamaa hawa kwa mujibu wa bwana jesse, ndio wanaoamua nani awe raisi wa wapi, wanapanga uchumi wa nchi mbalimbali na hata sometimes kutengeneza chaos kusudi wao waweze kubenefit.
Sikupata nafasi ya kuimaliza documentary ile kwani dogo aliondoka na compyuta yake, lakini nimeona niilete jamvini, kama kuna wakuu wenye knowledge zaidi waweze tujuza. Nawasilisha!