ONGERA MANYARA STAR, ONGERA JULIO ONGERA WATANZANIA
COMRADE IVUGA nimepata taarifa kuwa tayari game ya kesho waterwater mmeshamuweka sawa kakubali kupigwa 5-0 na mtaangalia Yeboyebo mwanza anafunga ngapi akifikisha la tatu mnaongeza la sita, akifikisha la nne mnaongeza la saba...............................................
Tulias dogo nachambua niweke vyupi visafi.....wengi wao wamevaa vyupi vyeusi kama vya TP mazembehawezi kuweka hizo ni kamba za YO YO tu
Timu zilizofuzu so far ni Tanzania, DR Congo, Zambia, Egypt, Tunisia na Algeria na zinazoelekea kufuzu baada ya matokeo mazuri ya mechi za awali ni South Africa, Morocco, Senegal na Ghana/Sudan so tuombe Mungu tushinde mechi ya round ijayo maana baada ya hapo Manyara Stars hao wanaenda London 2012 Olyimpics for U-23 na ni nafasi kwa vijana wetu hasa Mbwana Samatta, Thomas Ulimwengu, Jabir Azizi, Kado, Kigi Makassy kuonekana na mawakala wa Ulaya...