GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
mshana jr hili jambo unaweza lielezea zaidi. nikikaa chini nikiwaza naona kabisa sisi waafrika tumerogwa. trust me. tumerogwa si kwa mambo tunayoyafanya. hata kama wenzetu pia wanafanya basi wao wanafanya kwa style nyingine. wakati wao wanavumbua mambo mbali mbali sisi tumekazana kuua albino, kuua wenye vipara, kutishiana uchawi, kuuana na kunyanyasana.
kama suala la diamond kuzaa na sijui nani linaweza fanya shughuli kwenye media zisimame na mkuu wa mkoa naye akaingilia kati...inaumiza sana. yaani unaweza pata kizungu zungu .... kila sehemu nikipita nakuta vijana wamekaa wanabishana sana tena na kutaka kugombana "yule mtoto wake' mwingine anakwambia "yule mtoto si wake kakubali basi tu yaishe" hatufanyi mambo ya maana.
waafrika au watanzania tulirogwa. usibishe.tulirogwa hata viongozi tunaowachagua nao ni waathirika wa ulozi tuliofanyiwa na ndo maana hata mambo hayaendi sawa. kwa kias kikubwa barani afrika mambo yapo shagala bagala....
natoa wito.tukae chini na kuomba aliyeturoga naye afe.