King Mutesa
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 227
- 141
mkuu umenena...hilo ni la kulizangatia sana
waache tu sapu itawaambiaaa
Asante kwa ujumbe mzuri lakini hapo kwenye bold sielewi kwani kulikuwa na tabu gani kuweka herufi"S" badala ya X! pili unamaanisha nini kuandika "Malecture's" ulikuwa unamaanisha ma lecturers!? ambayo pia siyo sahihi kwa mfumo wa kiswakinge, ukishaweka"ma" huna haja ya kuweka "s" mbele ya neno "lecturer!Baada ya vijana kupewa mikopo yao, naona wamefurahia xaana na kuSahau kuwa kuna MASOMO tena magumu sana..!!
Jamani Malecture's wamewapania kwa mazoezi magumu xana.!!
Tukasomeeeeeeee....!!!!!!!
Fedha ni kurahisisha baadhi ya mambo tu.! Cha msingi MAAARIFAA..!!
We unaonaje kaka..?
Asante kwa ujumbe mzuri lakini hapo kwenye bold sielewi kwani kulikuwa na tabu gani kuweka herufi"S" badala ya X! pili unamaanisha nini kuandika "Malecture's" ulikuwa unamaanisha ma lecturers!? ambayo pia siyo sahihi kwa mfumo wa kiswakinge, ukishaweka"ma" huna haja ya kuweka "s" mbele ya neno "lecturer!