Tukate mzizi wa fitina: Tunda na Lulu nani kisu zaidi?

Kwa kweli Lulu mkali usipime,
Tunda anasubiri sanaaaa
 
Ukitaka kujua lulumzuri angalia picha zake kakiwa kaole kadogo
 
Kanumba apumzike huko aliko bwana, toka nimejua alikua anambanjua lulu basi nkajua wanawake wa bongo muvi ni hell totally, haka kalulu nimekapenda sababu kana wezere moja ya nguvu sana.
ila simpendi kwa sababu hana akili, pia ni malaya.
 
Lulu mzuri toka akiwa mdogo,tunamfahamu rangi yake toka kakiwa kadogo,bahati mbaya tu maskini ,hayo matunda siyajuu
 
Tunda sura tamu bhana..... Huwa hajimekap Sana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…