Tukate mzizi wa fitina: Tunda na Lulu nani kisu zaidi?

kura yangu Kwa Lulu aiseeeee , ukiwaondoa kundi la kina K-lyn na Nancy Lulu ndo anafuata Kwa uclass ( kibongo bongo ) , kawaacha mbali sana hao wengine
 
Kula inaenda kwa lulu bhana
Huyo tunda uvaaji wake hapangilii vizuri aisee yaan kanavaa utafikir kamekurupushwa kawah kudanga misosi mahotelini afu kitu kingine mi.mtu akishakuwa rafiki ya gigy kiki basi hana lolote
 
Hivi mnavyowasifia ni kwamba wanajua kuoga kuliko wanawake wote tz au ni vile wanajipost sana mitandaoni?? Mm sioni chochote hawa wakawaida tuu sana
 
mi napenda misambwanda bwana kama akina gigy sio hivi vimbaumbau hebu toa hizo picha weka vituu bwana vitu vya haja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…