Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kati ya timu hizi mbili za Kariakoo, Simba na Yanga, ni timu ipi imetoa jezi nzuri zaidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengo unaita mwanya. MahabaatDah huo Uzi wa Yanga mpaka udenda unatoka jinsi ulivyo mtamu....
Acha ushabiki..Simba jezi zao ni nzuri! Zinaelezea historia ya Tz kupigania uhuru wake miaka ileYanga ni nzuri sana jezi zao.
Za Simba ni nzuri sana , hizo za yanga za kawaida sanaKati ya timu hizi mbili za Kariakoo, Simba na Yanga, ni timu ipi imetoa jezi nzuri zaidi?View attachment 1170308View attachment 1170309View attachment 1170310
Ndio mdhamini waoMbona zote zimeandikwa Sportpesa??
Yaani acha kabisa.Dah huo Uzi wa Yanga mpaka udenda unatoka jinsi ulivyo mtamu....