Simba bhana [emoji13][emoji13][emoji13]Acha kufananisha jezi za simba na hayo madela. Hayo yanapaswa kuvaliwa na wamama Kwenye zile sherehe za kusutana
Simba bhana [emoji13][emoji13][emoji13]View attachment 1170480
Yanga uzi wao unaeleweka sana ila huo wa simba sio kabisa nadhani unapaswa kufananishwa na wa Stand united
.[emoji16][emoji23]Yanga Hawana Jezi Nimeambiwa Ni Nailoni Hiyo
NEMC Wanawahi Kuzikusanya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji216][emoji216][emoji216]Hizo nyingine za witch doctors
Huu??Dah huo Uzi wa Yanga mpaka udenda unatoka jinsi ulivyo mtamu....
Umemaliza kila kitu mkuuDah huo Uzi wa Yanga mpaka udenda unatoka jinsi ulivyo mtamu....
Maguruguja fc
Huwezi kuwa yanga wewe....Mie yanga ila za simba nimezielewa zaidi.