Hatari sana hii
Alikuwa anaitwa nani huyo mchezaji shoga wa simba? Daah
Kwa nembo ipi? Kwanza mmevamia hadi rangi za watu. Mmewwka hadi njanoAcha ushabiki..Simba jezi zao ni nzuri! Zinaelezea historia ya Tz kupigania uhuru wake miaka ile
😀 😀Hii iko tz tu yaan saiv tunhekuwa tunawaza tunampigaje rollers ya botswana na wale wa msumbiji . lkn bado tunaangalia jezi ipi ni nzuri
Mara paaad hatua ya mtoano tu out
Hili swali aibu naona mimi.Mbona zote zimeandikwa Sportpesa??
Mimi mwenyewe. [emoji23] [emoji23]Source
Manara akiona hivi ndio anazidi kuipenda yanga kweli kweli!Young Africa wewe!!!View attachment 1170588
Ha ha haMimi mwenyewe. [emoji23] [emoji23]