Eddygotya
Member
- Feb 16, 2018
- 10
- 20
Watu wengi ambao wamekua wakiagiza bidhaa kutoka China, wamekariri majukwaa mawili tu…Yaaani AliExpress na Alibaba
Hii ni kwasababu, watu wengi hawapendi kusumbuka….
Ila ukwel ni kwamba, majukwaa haya mawili yaani AliExpres na Alibaba, ndani yake bidhaa nyingi ni bei juu(yaaani baadhi ni hadi mara tano ya bei) lakini pia utapeli ni mwingi.
Leo nataka nitaongeza majukwaa kadhaa hapo chini, kisha niambie ni lipi hapo umewahi tumia?
Unaweza chagua zaidi ya moja….
Hizi ni baadhi tu👇👇👇
▪️1688.com
▪️Taobao
- Hii ni kama amazon flan hivi
-Quality unyama✅
-Unaweza nunua pcs chache
-Unaweza lipa hata kwa Visa card..Usitumie hizi mpesa visa card.
-Lugha ni kichina😁
▪️Pinduoduo
-Hii ni kama pacha wake na 1688 lakini yenyewe, unaweza fanya malipo kwa visa card.
▪️MadeinChina
-Hii ni kwa ajili ya sourcing
-Inafaa sana kwa kuanzia kusource.
-Muhimu uwe na WeChat..itakusaidia
-Upigaji upo pia,kua makini
-Bei nzuri,si haba.
-Lugha kingereza mtelezo
Daka kwanza hizo….nyingine nitaleta kwenye nyuzi zijazo….
Zingatia, usifanye manunuzi bila kujua namna sahihi ya kutambua supplier yupi ni wa uhakika na yupi mpigaji.
~Eddygotya🏃

- Humu vitu kitonga sana sana sana
- Unaweza nunua hata 1pc
- Lazima uwe Makini na suala zima la Quality.
- Lugha kipengele,ina tumia kichina tupu(nitaelezea siku nyingine una pigaje).
- Njia ya Malipo ni Alipa tu, kama huna nitaelezea siku nyingine.