Tukiachana na assist, ni kitu gani Chama anamzidi Fei Toto?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Baada ya kufatilia uchezaji wa hawa miamba, Chama the brain football na Feitoto aka KDB nmegundua jambo hili. Kwa mpira wa kisasa Feitoto ni Bora kuliko Chama

Takwimu zao
Chama....goal 2 but asists 7

Feitoto goal 5 but asists 2

Maoni: Weka ushabiki kando.....takwimu ziongee.

 
Wanasoka tu ndo wanajua ukweli
 
Uwezi kufananisha kiungo mwenye speed ya konokono na kiungo mwenye uwezo wa kucheza juu na chini yaani kocha uta amua umpange wapi.

Ili uwafananishe jaribu siku Moja kwenye Mechi zinazo wakutanisha wote uwachezeshe namba sita.

Au chukua takwimu timu zao zikikutana Head to Head nani ni tishio.

Nenda kwenye umri wao alafu nenda kwenye soko ujue thamani Yao.

Kwa kifupi Ili iwe rahisi kawaulize makipa wa izo timu mchezaji gani ni hatari pindi zinapo kutana.
 
Marehemu Hans Pop baada ya mechi ya Simba na Yanga anasema anatamani awatandike na Rungu, Chama na Luis Kwa viwango wanavyo onyesha ila wakikutana na timu ndogo Wana jitutumua kwelikweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…