Tukiachana na wachaga, Kuna kabila lingine lina utamaduni wa kurudi na kujumuika kwenye vijiji vya mizizi yao nje ya misiba?

Umeshajibiwa tayari na usikimbie kabila lako
 
Ukoo wa kina Mchomvu ni wapare, hata mtangazaji wa clouds fm Adam Mchomvu ni Mpare
Utakimbia sana lakini ujue unajibizana na anayefahamu kwenu kwa miaka 14. Hivi mimi mnyakyusa nikikaa uchagani na kujenga nyumba ya udongo huko itahesabika ipo uchagani au iko wapi? Nimeuliza nyumba za hivyo kwenye picha zilizojengwa kwenu ni nini wewe umekimbilia palipoandikwa jina na ukoo na kuishia kusema ni upareni. Ebu shuka hapo kwa marealle secondary ingia kulia ndani huko alafu uje useme hapa. Nenda huko wa warombo anzia hapo nyuma ya nyumba zilizotazamana hicho kilodge cha golden mpaka ngoyoni alafu uje useme. Jiongeze zaidi ufike kule mnakolia na mafuriko kahe huko. Ukimaliza utuletee zile mnazojenga kwa mabanzi
 
Chuki yako dhidi ya hawa wachaga itakutafuna sana,

Waachie nafasi wanaoweza kuchangia positively kwenye uzi huu
 
Chuki yako dhidi ya hawa wachaga itakutafuna sana, umeshaanza mpaka kuwasingizia kina Mchomvu wanaozikwa na wapare wenzao ni wachaga, unafaidika nini ?

Waachie nafasi wanaoweza kuchangia positively kwenye uzi huu
Jiwe limetupwa gizani na limekupata wewe.
 
Sisi Wachagga ni kabila la tofauti. Kwenye katiba mpya tutaomba Kilimanjaro na Arusha (Wachagga, Wamasai, Wameru na Wapare/Wagweno) tuwe nchi yetu wenyewe.

Naona kama wengine mnatuchelewesha.
Chanzo Cha mapato hamna,mnakusanya sehemu zingine ndo mnapeleka Kilimanjaro,ukiwa nchi yenu wengi wataukataa uchaga
 
Kwenye issue ya ushirikina usitumie nguvu zako Bure hawatakuamini maana wakiona wachaga wamefanikiwa wanawansibisha na ushirikina maana ndivyo wanavyoamaini.
 
Muongo na mzushi wewe, huwezi kudhibitisha chochote, kichwa chako kimejaa imani za kishirikina sana, wachaga nasema tena ndio kabila lilipoteza mila kuliko yote makubwa, eti umezunguka, unaweza kuzunguka ila kama ni kichwa maji huwezi kuelewa. Tuulize sisi tunaofahamu tukufahamishe vizuri, umejawa wivu, na husda tu. Watu tunachinja mbuzi, kuku, ng'ombe tunasherekea na ndugu na marafiki mnaona nongwa, jambo usiolijua ni sawa na usiku wa kiza. Kule huwa tunafanya misa za kukumbuka ndugu zetu, ubatizo nk. Wewe ambayo unajifanya unawajua kwa hisia bila facts ni mjinga tu.
Alafu lilivo jinga linadhani Kahe ni uchagani, kwanza nimegundua unachanganya na wapare, ata kama imekaa, umeambulia patupu, unadhani kila mtu mchawi kama wewe na huko kwenu mnapochunana ngozi, omba kwa ustaarabu ualikwe uone tunachofanya, nothing abnormal, hisia zenu tu , fear of the unknown, insecurities. Ukiulizwa chuki ya nini? Huna sababu ya msingi. Huo uchawi nimekwambia prove, sema , unajifanya oh nimekaa 14 years so what? Prove.
 
Sisi Wachagga ni kabila la tofauti. Kwenye katiba mpya tutaomba Kilimanjaro na Arusha (Wachagga, Wamasai, Wameru na Wapare/Wagweno) tuwe nchi yetu wenyewe.

Naona kama wengine mnatuchelewesha.
haachiki mtu hapa............Makonda kaja kuikoleza ndoa
 
Weka kama unayajua, kazi kushiriki dhambi ya uongo tu.
 
Katafute mganga kilimanjaro hutapata...nenda bukoba waganga wamejaa
 
Nawe kamwage damu uwe tajiri kma wachaga,umaskini wako ni laana
 
Makabila yote ya Kaskazin hurud nyumbani annual
 
Amekaa kwenu miaka 14 hivyo anawajua.

Wewe tungekuona unampinga kwa kubisha hoja alizoleta na hayo maeneo kusema hayapo hivyo kwa ushahidi.
 
Mada ishageuka ukabila .. kuendekeza ukabila ni kipimo kizuri cha upumbavu
 
Naona umeamua kuweka hadharani ujuha wako
 
Kweli wewe ngumbalu vipi kuna kidume cha kichaaga kilikulia demu wako nini maana sio kwa chuki na uongo huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…