Tukiachana na wachaga, Kuna kabila lingine lina utamaduni wa kurudi na kujumuika kwenye vijiji vya mizizi yao nje ya misiba?

Lete takwimu hapa,halafu kuna sehemu ambayo watu hawafi?
 
Achana nae huyo amejawa na chuki ya juu sana
 
Kule ndio watu wasiojua uchawi wanapatikana Tanzania hii. Huko watu wasipoweza kufanya maendeleo vijijini ndiko uchawi imejaa.
 
Amekaa kwenu miaka 14 hivyo anawajua.

Wewe tungekuona unampinga kwa kubisha hoja alizoleta na hayo maeneo kusema hayapo hivyo kwa ushahidi.
Unaweza kukaa dar miaka yote na usiwaelewe wazaramo, hajasema chochote cha ku prove point yake. Hajui lolote.
 
Amekaa kwenu miaka 14 hivyo anawajua.

Wewe tungekuona unampinga kwa kubisha hoja alizoleta na hayo maeneo kusema hayapo hivyo kwa ushahidi.
Hajui lolote huyo ni mtu kajaa chuki na wivu wa kike, kwanza anaonekana akili hana, unakaa 14 years bado unasema Kahe ni uchagani? Unachanganya wachaga na wapare!! Stupid. Alafu kakaa moshi kijiji gani ili tujue. Kama ni mjini, ata akae miaka 100 hatoelewa lolote. Na muulize ni vitu gani tunafanya December aviseme, mjinga tu huyo, watu wa hivyo ndio kwao wanafanya makafara ya kishetani wakidhani wachaga nao wanafanya. We don't entertain satanic rituals.
 
Kuna wachagga tupo nao miji mingine nje ya Moshi Januari hadi Desemba.
 
Unajua kanyaruju wewe

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Pumbaaa na povu kama lote na chuki binafsi zimekujaa juu ya wachaga, hayo matambiko ya kichawi uliyaona? Au ndoto zako za mchana, tafuta hela acha porojo.
 
[emoji120][emoji120][emoji120] jamaa ana donge kuliko kutoa facts za wachaga walivyo
 
Kama sio ujuha n nn, Kahe sio kwa wachaga hata kidogo, wapo Wakahe wenyewe, Wakamba na Wataita kutokea chocho la kitobo na wahamiaji wengine kuchunga na kulima mpunga
 
Mbona sisi Wameru na Waarusha huu utaratibu wa kurudi December nyumbani na kuchinja upo tangu enzi na enzi?

Nilizaliwa na kukuta hivyo
Wameru ni kama vile tu kusema wamachame, wamarangu,, wakibosho etc. Mkoloni hakuwaweka kwenye kundi moja tu ila pia waarusha ni mixer ya watu wa north so wako na zile particles na mazingira yanachangia pia....
 
Umetembea kidogo duniani huko utafahamu kwamba desemba ni holiday miji mingi ya kibiashara idadi ya watu hupungua sana wengi hurudi makwao kwaajili ya siku kuu lakini siyo tu siku kuu lakini ni maalum pia kwa hayo uliyotaja hiyo ndiyo huwa nafasi ya kuyatimiza

Kama huwa hamna huo utaratibu basi nyie bado sana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Utamaduni mzuri sana....naupenda.
Sisi kwetu huwa kinaitishwa kikao cha ukoo mara moja kwa mwaka huwa hawazidi hata 20 wanaofika
 
Sisi Wachagga ni kabila la tofauti. Kwenye katiba mpya tutaomba Kilimanjaro na Arusha (Wachagga, Wamasai, Wameru na Wapare/Wagweno) tuwe nchi yetu wenyewe.

Naona kama wengine mnatuchelewesha.
Tanzanite inakaribia kwisha arifu.

Tunahitaji kutumia pia za wengine kama walivyotumia Tanzanite yetu.

Tunahitaji pia bandari ambayo hatuna.

Hii moja ya Dar maza keshaiuza.
 
Wameru,Waarusha,na Wagweno huwezi kuwatofautisha na wachaga hata lugha zao zinaingiliana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…