Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Kama wazenji tu kelele mingi ila baadae yaleyaleMsipotuacha, sisi tutawaacha
KASKAZINI - KAZI KAZINI
Hao ni watu wa mwisho kabisa kwa uchawi Tanzania hii na Africa kati ya wabantu. Vi uchawi vyao ni vya kununua nunua sio kama wengine uchawi ni wa kuzaliwa na kurithi.Acha kusingizia wengine sababu watakucheka l. Wachaga wenzio walienda kwa watu na tabia zenu mbovu undondocha mwishowe wakaumbuka kama alivyoumbuka yule ndugu yenu wa dar pale mbezi kama siyo kimara
UongoUtamduni huu upo kwa Wachaga na Wahaya tu. Wahaya wamekuwa na utamaduni huo tangu enzi na enzi. Mpaka kurudi wamekuandika kwenye vitabu vinavyotumia lugha yao. Tofauti Wahaya hawafanyi matambiko ya kichawi kama wafanyavyo wachaga. Wale walioko nje ya nchi wanakutana kwenye mizizi yao kwa muda wanaokuwa wamepanga siyo iwe kwenye kipindi kimoja cha sikukuu.
Nasema matambiko ya KICHAWI kwasababu Kilimanjaro (wilaya za wachaga) ukitoa Wapare kwa mujibu wa taarifa za NBS ndiyo inaongoza kwa kuwa na watu wenye ulemavu. Ulemavu huu si wa kuzaliwa bali ni ule wa kichwawi wa mali ambao kila disemba lazima watimize masharti ya kumwaga damu.
Huku mikoani wakiona sura ya kaskazini is wote wanaita ni mchagaMbona sisi Wameru na Waarusha huu utaratibu wa kurudi December nyumbani na kuchinja upo tangu enzi na enzi?
Nilizaliwa na kukuta hivyo
Hata Mbeya tunarudi kwetu,tukianza na Wanyakyusa,Wandali,Wamalila,Wasafwa nk.Rudi Nyumbani December.Kuna jambo moja la msingi hatuzingatii mazingira ya kilimanjaro, Arusha na lushoto yana advantages za mtu kujenga au kurudi kwao (kijijini/ to retreat). Kwanza hali ya hewa nzuri, vyakula vipo vingi, maji ya uhakika tena chemchemi.miundombinu ni nzuri na bora.
Sio rahisi mtu wa huko awe na attitude sawa na mtu anaetoka dodoma, singida na tabora mikoa ambayo kila kitu ni kibovu.
Ndio yale Mbeya hali ya hewa rafiki Tukuyu maji yapo vyakula vya kila aina sasa mtu wa Tukuyu kweli utalinganisha na mtu wa Bahi dodoma au kaliua Tabora??Hata Mbeya tunarudi kwetu,tukianza na Wanyakyusa,Wandali,Wamalila,Wasafwa nk.Rudi Nyumbani December.
Ujumbe wako ni nini. Huo utamaduni wa kishamba unataka hata wenye akili za wauige? hii nchi ni moja tulia ulipo ndio kwako si unaishi km mkimbizi ndani ya nchi yako.Ni utamaduni unaonishangaza sana, kila ikifika december wiki 2 za mwisho Wachaga wa nje ya mikoa na nje ya nchi hukusanyika pamoja kwenye sehemu za asili zao huko Kilimanjaro.
Kwa miaka kadhaa nishazoea kuona status za wachaga watatu wanaoishi nje ya nchi wanapost status wamerudi, Yupo anaeishi China jiji la Guangzou, Marekani jiji la San Fransisco na mwengine Australia jiji la Sydney.
Kurudi kwa pamoja hukutanisha kila mwaka ndugu, majirani mpaka marafiki wa utotoni, kwa wale watoto waliozaliwa huku mijini ama nje ya nchi nao wanapelekwa kuijua mizizi yao, nadhani hata kama ulikopa duka la mangi mwaka jana basi hii December utadakwa tu.
Tukija huku makabila mengine ni nadra sana, achilia mbali kabila yani hata ndugu kurudi kwa pamoja kwenye mizizi yao ni suala zito, Labda itokee kuna msiba wa babu huko kijijini watazika na kutawanyika.
Binafsi upande wa baba ni mtu wa kanda ya ziwa, Yeye alikulia kijijini huwa anarudi kila mwaka lakini mimi nilienda mara 2 tu nikiwa darasa la sita na la saba shughuli ikaishia hapo !! kwakweli ni kipindi kirefu sana kimepita, connection za kijijini zimepotea kabisa hata watoto wakiulizia kijijini kwao nawaambia ni mtaa wa mjini niliozaliwa, naowahesabia ni ndugu ni wale tunaokutana mjini ila kule kwenye mizizi nishapoteza connection.
Nipo mikoa ya Iringa ya Mbeya kuna makabila kadhaa mambo ni hayo hayo tu, tukianza na Wanyakyusa wa Mbeya waliozaliwa nje ya sehemu za mizizi yao (Tukuyu ama Kyela) hawajazoeshwa kurudi kwenye mizizi yao hata undugu ni ule wa kujuana ndugu wa mjini. Ikitokea wamerudi huko kwao labda kuwe na mazishi, hali inakuwa mbaya zaidi kwa watoto wa hawa wanyakyusa waliozaliwa mijini wanaweza hata wasipajue Tukuyu.
Wengine nao ni wakinga wa huko Njombe wapo sana hio Iringa na Mbeya, watoto wanaishia kupajua mjini tu na ndugu wa mjini, Nina rafiki aliwahi kurudi kwenye msiba wa bibi yake tu tangu hapo hapajui Makete,
Punguza uleviSisi Wachagga ni kabila la tofauti. Kwenye katiba mpya tutaomba Kilimanjaro na Arusha (Wachagga, Wamasai, Wameru na Wapare/Wagweno) tuwe nchi yetu wenyewe.
Naona kama wengine mnatuchelewesha.
Hakuna watu washirikina km wachaga nchi hii.Ukiachana na wahaya waliokulia vijini kwao, hawa waliozaliwa mjini tupo nao mjini January to December, ikitokea wameenda aidha kuwe na msiba au mara chache wameenda na baba yao.
Kwa wachaga ukiniambia sifa zao mbaya zinazosifika kwamba kuna matapeli nakuunga mkono ila sio uchawi, haya mambo yapo ila kwa kiwango cha chini sana kwa mtu moja moja tena ni ule wa kununua kwengine maana hata kumpata mganga wa kienyeji wa kichaga utakesha.
Kuhusu kurudi December ni kipindi maarufu kwa holidays duniani kote.
WAsikudanye hao matapeli. Uchagani kuna umaskini hakuna sehemu upo nchi hii. Nenda vijijini hasa wilaya ya Rombo watu wamekimbia kuna shule imeandikisha watoto 3 tu darasa la kwanza. Kule hakufai unakufa njaaKurudi au kutokurudi hakuhusiani na kujenga kwenye maeneo yao. Sasa unaongelea nyumba za udongo kuwepo kwa wahaya, hizo nyumba za tope ziko kila sehemu ya nchi hii.
Niambie nyumba za hivi kwenye picha zilizojaa hapo vunjo ni na huko ndani ndani ni nin
Hahahaah hapana mkuu kujenga nyumbani kama una resources pia unainua local economy kuna advantages lakin pia value ya property iko namna gani unapojenga.... kujenga kijijini kilimanjaro au meru kule property ina thamani sawa tu na mjini sio kama kujenga manyoni au sengerema..Ujumbe wako ni nini. Huo utamaduni wa kishamba unataka hata wenye akili za wauige? hii nchi ni moja tulia ulipo ndio kwako si unaishi km mkimbizi ndani ya nchi yako.
Hakuna undondocha uchagganiYako wazi wewe kiazi. Mkiacha kubadili ndugu zenu kuwa mandondocha ndiyo utarudi hapa utoe ushuhuda.
Hujui chochote kuhusu wachagga, tumia hiyo nguvu kuondoa ujinga huko kwenuUtakimbia sana lakini ujue unajibizana na anayefahamu kwenu kwa miaka 14. Hivi mimi mnyakyusa nikikaa uchagani na kujenga nyumba ya udongo huko itahesabika ipo uchagani au iko wapi? Nimeuliza nyumba za hivyo kwenye picha zilizojengwa kwenu ni nini wewe umekimbilia palipoandikwa jina na ukoo na kuishia kusema ni upareni. Ebu shuka hapo kwa marealle secondary ingia kulia ndani huko alafu uje useme hapa. Nenda huko wa warombo anzia hapo nyuma ya nyumba zilizotazamana hicho kilodge cha golden mpaka ngoyoni alafu uje useme. Jiongeze zaidi ufike kule mnakolia na mafuriko kahe huko. Ukimaliza utuletee zile mnazojenga kwa mabanzi
Ukienda deep sio ajabu ukakuta nyie ndio mnachelewesha wengine😀.Sisi Wachagga ni kabila la tofauti. Kwenye katiba mpya tutaomba Kilimanjaro na Arusha (Wachagga, Wamasai, Wameru na Wapare/Wagweno) tuwe nchi yetu wenyewe.
Naona kama wengine mnatuchelewesha.
Umetoa povu sana!Ukienda deep sio ajabu ukakuta nyie ndio mnachelewesha wengine😀.
Kwanza ni poor mentality na haina lengo zuri tunapoanza iu clarify vitu kwa kuegemea makabila.
Hili suala huwa linapelekea hata katika nafasi watu kutaka kubebana.
Naamini asilimia kubwa ya watoa topic hizi wana vi element vya UPUMBAVU,UJINGA na/au USHAMBA.
UPUMBAVU NA UJINGA unaondolewa na maarifa halisi.
USHAMBA unaondolewa na kujichanganya au kuchanganyia,sina uhakika na tafsiri,lakini nimemaanisha EXPOSURE.
Kwa sasa local exposure imekuwa lakini WAJINGA na WAPUMBAVU ni wengi na wapo katika maeneo ya kufanya maamuzi katika nafasi mbalimbali serikalini na sekta binafsi.
Anyway kuna kina wenu wengi tu wanasukuma ma toroli ya maji Dar, wanapambana na hizi menial task aisee
Exposure sisi tulishapata zamani bwashee wakati nyie mkiwa mnavaa ngozi.Ukienda deep sio ajabu ukakuta nyie ndio mnachelewesha wengine😀.
Kwanza ni poor mentality na haina lengo zuri tunapoanza iu clarify vitu kwa kuegemea makabila.
Hili suala huwa linapelekea hata katika nafasi watu kutaka kubebana.
Naamini asilimia kubwa ya watoa topic hizi wana vi element vya UPUMBAVU,UJINGA na/au USHAMBA.
UPUMBAVU NA UJINGA unaondolewa na maarifa halisi.
USHAMBA unaondolewa na kujichanganya au kuchanganyia,sina uhakika na tafsiri,lakini nimemaanisha EXPOSURE.
Kwa sasa local exposure imekuwa lakini WAJINGA na WAPUMBAVU ni wengi na wapo katika maeneo ya kufanya maamuzi katika nafasi mbalimbali serikalini na sekta binafsi.
Anyway kuna kina wenu wengi tu wanasukuma ma toroli ya maji Dar, wanapambana na hizi menial task aisee
Wewe mhaya maskini sitegemei usifie matajiri Wachaga,utamaduni wetu ni unique Tangu enzi na enzi,HII ni kutokana n'a elimuUtamduni huu upo kwa Wachaga na Wahaya tu. Wahaya wamekuwa na utamaduni huo tangu enzi na enzi. Mpaka kurudi wamekuandika kwenye vitabu vinavyotumia lugha yao. Tofauti Wahaya hawafanyi matambiko ya kichawi kama wafanyavyo wachaga. Wale walioko nje ya nchi wanakutana kwenye mizizi yao kwa muda wanaokuwa wamepanga siyo iwe kwenye kipindi kimoja cha sikukuu.
Nasema matambiko ya KICHAWI kwasababu Kilimanjaro (wilaya za wachaga) ukitoa Wapare kwa mujibu wa taarifa za NBS ndiyo inaongoza kwa kuwa na watu wenye ulemavu. Ulemavu huu si wa kuzaliwa bali ni ule wa kichwawi wa mali ambao kila disemba lazima watimize masharti ya kumwaga damu.
Unaongea usichokijuaRejea kusoma post yangu hapo kwa walioko nje ya nchi ambayo inaenda mpaka kwa wale waliozaliwa maeneo mengine na hawakurudi kipindi cha sikukuu. Wachaga ni lini wanarudi kwao na kufanya makutano ya kifamilia nje ya disemba? Hapo ndiyo utaona utofauti ulipo.