Tukiamua kuchukua kombe la dunia tunaweza kabisa,lkn tunahitaji miaka 10 ya maandalizi

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Inawezekana kabisa ila inabidi tuache ujanja.

Inabidi tuanzishe shule ya kitaifa ya mpira,tuwe na watoto kuanzia miaka 7 waanze kufundishwa mpiara,klabu ziwekeze kwenye academy.

Tuwe na scouting nzuri kila pembe ya nchi yetu,kila mtoto mwenye kipaji apate fursa.

Watu wa TFFwaache kupanga vikosi.

Mpira hauna ujanja ujanja,Belgium wameweza kwanini sisi tushindwe?
 
Ni kweli lakini tuweke ubinafsi pembeni. Na lugha za uongo uongo. Tujipange wenyewe bila visingizio vya wanasiasa.

Au labda nchi za Magharibi ndio wanaohujumu soka letu?
 
Tujaribu mchezo mwingine sio lazima soka, soka kwetu limegoma tunalazimisha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…