Elnacio
New Member
- Jul 26, 2021
- 1
- 0
Tukibadilisha mitazamo yetu nirahisi kuibadilisha jamii.
Kila tatizo lina chanzo hatuwezi kufika tuendako kama hatujui tulipo toka historia ya mwanadamu ina mahusiano makubwa na mafanikio ya mwanadamu.
Inabidi ifike muda tusimame kwenye ukweli unaojulikana na wachache walio amua kubaki nao nakuutumi kwa manufaa yao binafsi huku wakiacha jamii inayo wazunguka kwenye kiza nidhahiri kwamba umoja ndo nguvu itakayo tufikisha kilele cha mafanikio ila tunatenganishwa na vitu vichache ambavyo ni dini, siasa na pesa vituambavyo inaonyesha wazi vipo kwaajili ya kuweka tofauti kati ya wanadamu kitu ambacho akikuwepo miaka mingi iliyopita.
Tumesahau asili yetu tumewasahau mababu zetu.Tunapaswa kurudi kwenye mizizi kama tunahitaji matunda mazuri.
Kwanza tujue sisi tumetoka wapi na tunauwezo gani? Tusahau tuliyoambiwa kwasababu ndio waliyotaka tuyasikie tuutafute ukweli na tuache kuridhika na tunayoambiwa kama kweli tunataka kuibadilisha jamii.
Tutoke kwenye utumwa wa kifikra ili tuweze kujitawala.