Tukibadilishana jezi baada ya mechi tubadilishane na "chupi""baada ya shuguli!!

Tukibadilishana jezi baada ya mechi tubadilishane na "chupi""baada ya shuguli!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kama vile hii yawezekana kusaidia kujua mwenzako amekuibia unyumba ama lah
kumekuwa na mazoea ya kubadilishana jezi baada ya kumaliza mechi mbalimbali
ni wakati umefika basi na nyie mnaowaibia wenzenu mkimaliza mechi zenu kwenye
guest house wakati muafaka wa kubadlishana zile nguo za ndani

usiogpe ina rangi gani hiyo inasaidia kumkumbuka huyo ulieshinda nae na kumwacha mwenzawako
akitabasamu na ugali na maharage huku mnakula wali na kuku wa kienyeji

ni wakati umefika sasa wapenzi nao baada ya mechi kugaiana nguo za ndani kudumisha upendo
 
Sijakuelewa,
Unamaanisha kubadilishana Chupi kwa wale wanaoiba, ama?
Si unatafuta kuvunja ndoa za watu?
We sema kwa mume na mke labda.
Mfano wewe tunakuona umetinga viwalo, umetoka mwenyewe,
Kumbe ndani una Bikini ha ha ha ha!!!
 
hiyo iko poa tu ila tatizo ni hayo 'masaburi' ya kike kuingia kwenye chupi ya kiume yatatoshaje?? and vice versa
 
Duh, Fair Play, inahitaji mashabiki waone au mechi irushwe live hilo nalo vp?
 
Pdidy is a hell of a character......... full of surprises and flight of ideas

duh hii kali
 
mkuu kuna chupi nyingine za wasichani hutaweza kuivaa.kuna ile iliyokaa kama kandambili,utivaaje?mia
 
Sijakuelewa,
Unamaanisha kubadilishana Chupi kwa wale wanaoiba, ama?
Si unatafuta kuvunja ndoa za watu?
We sema kwa mume na mke labda.
Mfano wewe tunakuona umetinga viwalo, umetoka mwenyewe,
Kumbe ndani una Bikini ha ha ha ha!!!

mkuu umenielewa nasemea ile kiwalo cha bikini unakivaa ukirudi kama unavua nguo mbele ya mkeo hilo nalo neno ...
aone akiniuliza namwambia mpenzi nimeona nitafute size yako nijipimishe maana niliambiwa kila kitu chetu kimoja so na nguo ya ndan nkajua moja aebu jaribu hny kumbe anatest used
 
acha ujinga!
tungekuwa tunatoa maneno makali hivi wengine wasingekuwapo mpaka leo hii lakini kwa neema na ufahamu wa Mungu
ubarikiwe karibu hjii ndio jf kuna wajinga na werevu mpwa uwakosi
 
kazi kwelikweli,mie sina neno,ila kama ndio mume wangu ntamtoa mbio na hiyo bikini usipime!
 
Back
Top Bottom